Tanzania
MapoList

Chadema kuunda ‘NEC’ ya mfano, kufungua tena kesi

Kamati Kuu ya Chadema imefikia maazimio mawili; kufungua kesi ya kupinga mabadiliko ya Sheria ya Vyama vya Siasa mara itaposainiwa, na kuandaa rasimu ya muundo wa Tume Huru ya Uchaguzi kwa lengo la kuibua mjadala.
Mwananchi | Gazeti za Kiswahili linaloongoza TanzaniaMwananchi

Kupewa dhamana mtuhumiwa, Polisi waingia matatani

Jeshi la polisi mkoani Mbeya limetupiwa lawama na familia ya mtoto yatima mwenye umri wa miaka 14 mkazi wa mtaa wa Itongo kata ya Mwakibete baada ya kumwachia kwa dhamana mtuhumiwa anayedaiwa kumfungia ndani na kumshambulia kwa kipigo Januai 31 mwaka huu.

Tuhuma za wizi; RC aagiza kigogo wa halmashauri akamatwe

Mkuu wa mkoa wa Ruvuma, Christina Mndeme ameliagiza jeshi la polisi kumkamata na kumweka ndani saa 48 na kumfikisha mahakamani kigogo mmoja wa idara ya fedha halmashauri ya manispaa ya Songea kwa tuhuma za wizi wa fedha za mapato Sh118 milioni.

Kampuni ya Marekani yalizwa Sh1.24 bilioni ununuzi wa korosho Tanzania

Kampuni ya KLM Capital ya Marekani inayowekeza kwenye mazao ya kilimo nchini, inadai kutapeliwa mtaji wa Sh1.24 bilioni ilizotoa kwa kampuni ya Eagle Investment and Logistics (T) Ltd kwa ajili ya ununuzi wa korosho kwa msimu wa 2017/18.

Mwendo wa kushambulia tu

Wakati watani wa jadi, Simba na Yanga wakikutana leo makocha wa timu zote mbili wamejilipua na kila mmoja kujinasibu kucheza soka la kushambulia.

Zero Vat fails to cut prices of towels

The much sought after relief in the price of sanitary pads has not been experienced even as the government removed the Value Added Tax (Vat) on the products in the current budget.
The Citizen | Tanzanias leading English news site - Home

PCCB files report for 4 men facing 543 counts

The Prevention and Combating of Corruption Bureau (PCCB) has filed information concerning the economic sabotage case No. 8 of 2019 at the Economic, Corruption and Organised Crime Division of the High Court.

Government, donors in talks over business climate issues

The British High Commission to Tanzania said yesterday that it was in dialogue with the government over business environment, including policy unpredictability, in the country.

Mufuruki: Keep people aware of adverse impacts

Keeping the public abreast of charcoal business effects is one of the best ways, which can help save the country’s forests and environment at large.

Ruling on ‘ivory queen,’ co-accused set for next Tuesday

The Kisutu Resident Magistrate’s Court has set February 19, this year, to make a ruling on an economic sabotage case facing three accused persons including a Chinese national, Yang Feng Glan, 66.

Building bridges at Sauti za Busara 2019

The 2019 edition of the Sauti za Busara music festival ended on Sunday night with a thrilling performance Mokoomba from Zimbabwe, and has been labeled by stakeholders as one of the best festivals that the organisers have staged since 2004.

NBC supports construction of police station

NBC Bank Plch as handed over a cheque worth Sh11.27 million to the government to support construction of a police station at Ruangwa District in Lindi Region.

Taliss-IST swimmers win 12 trophies in gala

Taliss-IST have continued to dominate the swimming game in the country after scoring 12 individual trophies in the just ended Taliss-IST swimming championships held at the International School of Tanganyika (IST), Upanga swimming pool conducted last weekend.

Mke amtuhumu mumewe kumjeruhi kwa kukataa kuingiliwa kinyume na maumbile

Mwanamke mmoja mkazi wa Kijichi Mkoa wa Mjini Magharibi Unguja, anadai kupigwa na kujeruhiwa usoni ambako ameshonwa nyuzi sita na mumewe baada ya kumkatalia kufanya mapenzi kinyume na maumbile.
Mwananchi | Gazeti za Kiswahili linaloongoza TanzaniaMwananchi

Mke amtuhumu mumewe kumjeruhi kwa kukataa kuingiliwa kinyume na maumbile

Mwanamke mmoja mkazi wa Kijichi Mkoa wa Mjini Magharibi Unguja, anadai kupigwa na kujeruhiwa usoni ambako ameshonwa nyuzi sita na mumewe baada ya kumkatalia kufanya mapenzi kinyume na maumbile.

Manispaa Kigoma yawaliza machinga

Wajasiriamali zaidi ya 150 wanaofanya biashara ndogondogo pembezoni mwa barabara za Lumumba, Mwanga  na Stesheni Manispaa ya Kigoma Ujiji mkoani hapa  wamebomolewa vibanda vyao na uongozi wa halmashauri.
Mwananchi | Gazeti za Kiswahili linaloongoza TanzaniaMwananchi

Manispaa Kigoma yawaliza machinga

Wajasiriamali zaidi ya 150 wanaofanya biashara ndogondogo pembezoni mwa barabara za Lumumba, Mwanga  na Stesheni Manispaa ya Kigoma Ujiji mkoani hapa  wamebomolewa vibanda vyao na uongozi wa halmashauri.

More than 1000 people vote to unravel ‘child killers’

Over 1,000 residents of Lamadi Town in Busega District, Simiyu Region, have today on February 14, 2019 cast secret ballot to identify culprits in escalating killing of children
The Citizen | Tanzanias leading English news site - Home

More than 1000 people vote to unravel ‘child killers’

Over 1,000 residents of Lamadi Town in Busega District, Simiyu Region, have today on February 14, 2019 cast secret ballot to identify culprits in escalating killing of children

REA gets new board chairman

President John Magufuli has appointed Michael Pius Nyagoga the new chairman of the board of directors of the Rural Energy Agency (REA).
The Citizen | Tanzanias leading English news site - Home

REA gets new board chairman

President John Magufuli has appointed Michael Pius Nyagoga the new chairman of the board of directors of the Rural Energy Agency (REA).

Zitto, Ndugai kuchuana mahakamani kesho

Kesi ya kikatiba kuhusu kinga ya Mdhibiti na Mkaguzi Mkuu wa Hesabu za Serikali (CAG), Profesa Mussa Assad  na mamlaka ya Bunge kuwahoji watu wanao tuhumiwa kulidhalilisha Bunge, kesho Ijumaa Februari 15, 2019 inatarajiwa kusikilizwa.
Mwananchi | Gazeti za Kiswahili linaloongoza TanzaniaMwananchi

Zitto, Ndugai kuchuana mahakamani kesho

Kesi ya kikatiba kuhusu kinga ya Mdhibiti na Mkaguzi Mkuu wa Hesabu za Serikali (CAG), Profesa Mussa Assad  na mamlaka ya Bunge kuwahoji watu wanao tuhumiwa kulidhalilisha Bunge, kesho Ijumaa Februari 15, 2019 inatarajiwa kusikilizwa.

Wapiga kura ya siri kufichua wauaji watoto

Kutokana na kuibuka kwa matukio ya mauaji ya watoto katika wa Lamadi mkoani Simiyu ambayo yanafanana na yale yanayoripotiwa kutokea mkoani Njombe, wakazi wa mji huo zaidi ya 1,000 wamepiga kura za siri kuwataja watu wanaodaiwa kuhusika katika matukio hayo.
Mwananchi | Gazeti za Kiswahili linaloongoza TanzaniaMwananchi

Wapiga kura ya siri kufichua wauaji watoto

Kutokana na kuibuka kwa matukio ya mauaji ya watoto katika wa Lamadi mkoani Simiyu ambayo yanafanana na yale yanayoripotiwa kutokea mkoani Njombe, wakazi wa mji huo zaidi ya 1,000 wamepiga kura za siri kuwataja watu wanaodaiwa kuhusika katika matukio hayo.

Mchungaji Msigwa awapa mkakati wabunge Iringa

Mbunge wa Iringa Mjini (Chadema),  Mchungaji Peter Msigwa amewataka wabunge wa Iringa kuungana kupiga kelele ili Serikali ijenge barabara ya lami kutoka Iringa kuelekea Hifadhi ya Taifa ya Ruaha.
Mwananchi | Gazeti za Kiswahili linaloongoza TanzaniaMwananchi

Mchungaji Msigwa awapa mkakati wabunge Iringa

Mbunge wa Iringa Mjini (Chadema),  Mchungaji Peter Msigwa amewataka wabunge wa Iringa kuungana kupiga kelele ili Serikali ijenge barabara ya lami kutoka Iringa kuelekea Hifadhi ya Taifa ya Ruaha.

Kortini akidaiwa kuchapisha taarifa za uongo facebook

Emmanuel Mahumbi mkazi wa jiji la Mwanza  (38) amepandishwa kizimbani katika Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu akikabiliwa na shtaka la kuchapisha taarifa za uongo katika mtandao wa kijamii wa facebook.
Mwananchi | Gazeti za Kiswahili linaloongoza TanzaniaMwananchi

Kortini akidaiwa kuchapisha taarifa za uongo facebook

Emmanuel Mahumbi mkazi wa jiji la Mwanza  (38) amepandishwa kizimbani katika Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu akikabiliwa na shtaka la kuchapisha taarifa za uongo katika mtandao wa kijamii wa facebook.

Magari makubwa kubeba abiria Mwanza

Mamlaka ya Udhibiti wa Usafiri wa Nchikavu na Majini (Sumatra) mkoani hapa umetoa wito kwa wamiliki wa magari ya uchukuzi kufuata taratibu zilizowekwa, vinginevyo watafutiwa leseni.
Mwananchi | Gazeti za Kiswahili linaloongoza TanzaniaMwananchi

Magari makubwa kubeba abiria Mwanza

Mamlaka ya Udhibiti wa Usafiri wa Nchikavu na Majini (Sumatra) mkoani hapa umetoa wito kwa wamiliki wa magari ya uchukuzi kufuata taratibu zilizowekwa, vinginevyo watafutiwa leseni.

Get more results via ClueGoal