Tanzania

Mashabiki Olimpiki kuzuiwa kushangilia

Mashabiki watakaohudhuria Michezo ya Olimpiki ijayo itakayofanyika jijini Tokyo wanaweza kuombwa wasishangilie au kupiga kelele ikiwa ni mbinu ya kudhibiti kuenea kwa maambukizi ya Covid-19.
Mwananchi | Gazeti za Kiswahili linaloongoza TanzaniaMwananchi

RC Chalamila: Tanesco kateni umeme kwa mnaowadai

Mkuu wa Mkoa wa Mbeya, Albert Chalamila amelitaka Shirika la Umeme (Tanesco) mkoani humo kusitisha huduma ya nishati hiyo kwa taasisi ambazo hazilipi madeni zikiwemo za Serikali.

Alichokisema Katambi kuhusu Chadema, apewa majibu

Mbunge wa Shinyanga Mjini (CCM), Patrobas   Katambi amedai sababu ya Chadema kushindwa kufanya vizuri katika uchaguzi mkuu wa Oktoba 28, 2020 ni kutokana na kutokuwa na msingi kuanzia ngazi za chini.  

Mwili mwakilishi ACT-Wazalendo wazikwa

Mwenyekiti wa Chama cha ACT-Wazalendo, Maalim Seif Sharif Hamad ameongoza mamia na wananchi na wafuasi wa chama hicho katika maziko ya Abubakar Khamis Bakari yaliyofanyika mjini Unguja leo Jumatano Novemba 11, 2020

Wananchi wasogezewa matumizi umeme wa jua

Benki ya Equity na kampuni ya Sola Electric zimeingia makubaliano ya pamoja kuhakikisha wananchi wanapata umeme wa nishati ya jua kwa gharama nafuu kwa ajili ya shughuli mbalimbali za kiuchumi.

Simba yaonywa ukuta Klabu Bingwa

Simba imetakiwa kuimarisha eneo la ulinzi kabla ya kuikabili Plateau United ya Nigeria katika mchezo wa kwanza wa Ligi ya Mabingwa Afrika utakaochezwa kati ya Novemba 27 hadi 29, mwaka huu.

Mwakilishi ACT-Wazalendo kuzikwa leo jioni

Mwili wa aliyekuwa mwakilishi mteule wa  Pandani Pemba kwa tiketi ya ACT-Wazalendo, Abubakar Khamis Bakar utazikwa leo jioni Jumatano Novemba 11, 2020 saa  10 jioni katika makaburi ya Kianga yaliyopo Mbweni Unguja.

Serikali yatoa mwongozo kukabili ajali za moto shuleni

Serikali imechukua hatua kuhakikisha ajali za moto shuleni zinadhibitiwa huku ikionya shule ambazo hazitafuata sheria na kanuni zilizopo zitafutiwa usajili.

VIDEO: Wakamatwa na kilo 237 za bangi

Polisi mkoani Morogoro inawashikilia watu wawili kwa tuhuma za kukutwa wakisafirisha viroba 15 vya bangi yenye uzito wa kilogramu 237 huku dereva wa gari hilo akiwa amevaa fulana na kofia zinazofanana na sare za Jeshi la Wananchi wa Tanzania (JWTZ).

Usiyoyajua kuhusu mbege

Kama ulidhani watu wanakunywa pombe ya asili aina ya mbege ili kulewa utakuwa umekosea sana. Kumbe pombe hii inayopatikana mkoani Kilimanjaro ina matumizi mengi kutokana na madai ya wenyeji wa Mkoa huo.

Marekani yajiandikia historia, rekodi mpya Uchaguzi Mkuu 2020

Ni Joe Robinette Biden jr. Ukimwita Joe Biden inatosha na utaeleweka zaidi. Mwaka 1978, alikuwa kijana mwenye umri wa miaka 44. Ni kijana kwa siasa za Marekani hasa ngazi ya urais. Mwaka huo, Biden alijitosa kuwania tiketi ya Democratic kuwa mgombea urais kat
Mwananchi | Gazeti za Kiswahili linaloongoza TanzaniaMwananchi

Marekani yajiandikia historia, rekodi mpya Uchaguzi Mkuu 2020

Ni Joe Robinette Biden jr. Ukimwita Joe Biden inatosha na utaeleweka zaidi. Mwaka 1978, alikuwa kijana mwenye umri wa miaka 44. Ni kijana kwa siasa za Marekani hasa ngazi ya urais. Mwaka huo, Biden alijitosa kuwania tiketi ya Democratic kuwa mgombea urais katika uchaguzi wa mwaka 1988.

Upinzani, historia mpya nje ya Bunge

Wakati Katiba ya Jamhuri ya Muungano ibara ya 3(1) ikisema, ‘Jamhuri ya Muungano ni nchi ya kidemokrasia na ya kijamaa, yenye kufuata mfumo wa vyama vingi vya siasa,’ huenda miaka mitano ijayo siasa za Tanzania zitaendeshwa bila kuwepo kwa vyama vya upinz
Mwananchi | Gazeti za Kiswahili linaloongoza TanzaniaMwananchi

Upinzani, historia mpya nje ya Bunge

Wakati Katiba ya Jamhuri ya Muungano ibara ya 3(1) ikisema, ‘Jamhuri ya Muungano ni nchi ya kidemokrasia na ya kijamaa, yenye kufuata mfumo wa vyama vingi vya siasa,’ huenda miaka mitano ijayo siasa za Tanzania zitaendeshwa bila kuwepo kwa vyama vya upinzani kwenye vyombo vya uamuzi likiwemo Bunge na mabaraza ya madiwani.

Rais wa zamani Mali afariki

Amadou Toumani Toure aliiongoza nchi hiyo kuingia katika uchaguzi wa kwanza wa kidemokrasia nchini Mali mwaka na baadaye kuongoza nchi kwa miaka 10 kabla ya kupinduliwa.
Mwananchi | Gazeti za Kiswahili linaloongoza TanzaniaMwananchi

Rais wa zamani Mali afariki

Amadou Toumani Toure aliiongoza nchi hiyo kuingia katika uchaguzi wa kwanza wa kidemokrasia nchini Mali mwaka na baadaye kuongoza nchi kwa miaka 10 kabla ya kupinduliwa.

Lissu arudi Ubelgiji akitokea ubalozi wa Ujerumani

Tundu Lissu ambaye ni makamu mwenyekiti wa Chadema alirejea Tanzania Julai 27, 2020 akitokea nchini Ubelgiji baada ya kuishi nchini humo kwa zaidi ya miaka miwili akipatiwa matibabu ya shambulio la risasi la Septemba 7, 2017 jijini Dodoma.
Mwananchi | Gazeti za Kiswahili linaloongoza TanzaniaMwananchi

Lissu arudi Ubelgiji akitokea ubalozi wa Ujerumani

Tundu Lissu ambaye ni makamu mwenyekiti wa Chadema alirejea Tanzania Julai 27, 2020 akitokea nchini Ubelgiji baada ya kuishi nchini humo kwa zaidi ya miaka miwili akipatiwa matibabu ya shambulio la risasi la Septemba 7, 2017 jijini Dodoma.

Liverpool yahamia uwanja wa kisasa wa mazoezi

Mabingwa hao wa soka wa England wamehama uwanja wa Melwood ambao wameutumia kwa zaidi ya miaka 70 na sasa wanakwenda eneo walilolitengeneza kisasa kwa gharama za zaidi ya Sh130 trilioni.
Mwananchi | Gazeti za Kiswahili linaloongoza TanzaniaMwananchi

Liverpool yahamia uwanja wa kisasa wa mazoezi

Mabingwa hao wa soka wa England wamehama uwanja wa Melwood ambao wameutumia kwa zaidi ya miaka 70 na sasa wanakwenda eneo walilolitengeneza kisasa kwa gharama za zaidi ya Sh130 trilioni.

Ligi Kuu England kuendelea kubadili wachezaji watatu tu

Ligi kubwa za soka barani Ulaya zinaendelea kutumia sheria ya kubadilisha wachezaji watano iliyoanzishwa wakati mechi ziliporuhusiwa baada ya kusimamishwa kwa muda kutokana na mlipuko wa ugonjwa wa virusi vya corona, Covid-19, mapema mwaka huu.
Mwananchi | Gazeti za Kiswahili linaloongoza TanzaniaMwananchi

Ligi Kuu England kuendelea kubadili wachezaji watatu tu

Ligi kubwa za soka barani Ulaya zinaendelea kutumia sheria ya kubadilisha wachezaji watano iliyoanzishwa wakati mechi ziliporuhusiwa baada ya kusimamishwa kwa muda kutokana na mlipuko wa ugonjwa wa virusi vya corona, Covid-19, mapema mwaka huu.

Mtengeneza mabomu wa Al-Qaeda auawa

Awali Mohammad Hanif alikuwa mwanachama wa Taliban na alikuwa akifundisha wapiganaji kutengeneza mabomu ya kutega katika magari na vifaa vingine vya kulipulia.  
Mwananchi | Gazeti za Kiswahili linaloongoza TanzaniaMwananchi

Mtengeneza mabomu wa Al-Qaeda auawa

Awali Mohammad Hanif alikuwa mwanachama wa Taliban na alikuwa akifundisha wapiganaji kutengeneza mabomu ya kutega katika magari na vifaa vingine vya kulipulia.  

ACT yatafakari kujiunga Serikali ya Umoja ya Kitaifa Zanzibar

Chama cha ACT-Wazalendo kimesema kinajipa muda zaidi wa kutafakari iwapo itapendekeza jina la makamu wa kwanza wa rais wa Zanzibar pamoja na kushiriki katika Serikali ya Umoja ya Kitaifa (SUK).
Mwananchi | Gazeti za Kiswahili linaloongoza TanzaniaMwananchi

ACT yatafakari kujiunga Serikali ya Umoja ya Kitaifa Zanzibar

Chama cha ACT-Wazalendo kimesema kinajipa muda zaidi wa kutafakari iwapo itapendekeza jina la makamu wa kwanza wa rais wa Zanzibar pamoja na kushiriki katika Serikali ya Umoja ya Kitaifa (SUK).

Mkurugenzi atakiwa kurudisha Sh33 milioni za wakulima

Mkurugenzi wa kampuni ya Farm Green Implement Ltd alichukua Sh33.2 milioni za wakulima wawili wa wilayani Hanang' na kuahidi kuwanunulia matrekta, lakini hakufanya hivyo
Mwananchi | Gazeti za Kiswahili linaloongoza TanzaniaMwananchi

Mkurugenzi atakiwa kurudisha Sh33 milioni za wakulima

Mkurugenzi wa kampuni ya Farm Green Implement Ltd alichukua Sh33.2 milioni za wakulima wawili wa wilayani Hanang' na kuahidi kuwanunulia matrekta, lakini hakufanya hivyo

Kifanya waiangukia Serikali iwarudishie mashamba

Wakazi wa kijiji cha Kifanya wameiomba Serikali ya kijiji kuendelea kutumia mashamba yao ya kale iliyoyagawa kwa wafugaji  kwa kuwa wanakosa maeneo ya kulima
Mwananchi | Gazeti za Kiswahili linaloongoza TanzaniaMwananchi

Kifanya waiangukia Serikali iwarudishie mashamba

Wakazi wa kijiji cha Kifanya wameiomba Serikali ya kijiji kuendelea kutumia mashamba yao ya kale iliyoyagawa kwa wafugaji  kwa kuwa wanakosa maeneo ya kulima

Upinzani waacha sintofahamu Bunge la 12

Bunge la 12 linaelekea kuwa Bunge la kwanza tangu mfumo wa vyama vingi uanze nchini kukosa kuwa na Kambi ya Rasmi ya Upinzani Bungeni, baada ya idadi ya wabunge wanaotakiwa kuunda kambi hiyo kukosekana.
Mwananchi | Gazeti za Kiswahili linaloongoza TanzaniaMwananchi

Upinzani waacha sintofahamu Bunge la 12

Bunge la 12 linaelekea kuwa Bunge la kwanza tangu mfumo wa vyama vingi uanze nchini kukosa kuwa na Kambi ya Rasmi ya Upinzani Bungeni, baada ya idadi ya wabunge wanaotakiwa kuunda kambi hiyo kukosekana.

Ndugai aahidi kutenda haki, asema hakutakuwa na kambi ya upinzani bungeni

Mbunge wa Kongwa anayewania uspika wa Bunge, Job Ndugai amesema kama atachaguliwa atawalinda wapinzani ndani ya Bunge na kusimamia katiba ya nchi huku akibainisha kuwa hakutakuwa na Kambi Rasmi ya Upinzani Bungeni.
Mwananchi | Gazeti za Kiswahili linaloongoza TanzaniaMwananchi

Ndugai aahidi kutenda haki, asema hakutakuwa na kambi ya upinzani bungeni

Mbunge wa Kongwa anayewania uspika wa Bunge, Job Ndugai amesema kama atachaguliwa atawalinda wapinzani ndani ya Bunge na kusimamia katiba ya nchi huku akibainisha kuwa hakutakuwa na Kambi Rasmi ya Upinzani Bungeni.

Ndugai achaguliwa tena kuwa Spika wa Bunge

Mbunge wa Kongwa (CCM), Job Ndugai amechaguliwa kuwa Spika wa Bunge la 12 baada ya  kupata kura 344 kati ya kura 345 zilizopigwa sawa na asilimia 99.7. Kura moja ilimkataa. Ndugai alikuwa spika katika Bunge la 11
Mwananchi | Gazeti za Kiswahili linaloongoza TanzaniaMwananchi

Ndugai achaguliwa tena kuwa Spika wa Bunge

Mbunge wa Kongwa (CCM), Job Ndugai amechaguliwa kuwa Spika wa Bunge la 12 baada ya  kupata kura 344 kati ya kura 345 zilizopigwa sawa na asilimia 99.7. Kura moja ilimkataa. Ndugai alikuwa spika katika Bunge la 11

Lema aachiwa, aendelea kuomba hifadhi ya muda

Hatimaye mamlaka za nchini Kenya zimemwachia aliyekuwa mgombea ubunge wa jimbo la Arusha Mjini kupitia Chadema, Godbless Lema na sasa anaendelea na hatua za kuomba hifadhi ya muda.
Mwananchi | Gazeti za Kiswahili linaloongoza TanzaniaMwananchi

Lema aachiwa, aendelea kuomba hifadhi ya muda

Hatimaye mamlaka za nchini Kenya zimemwachia aliyekuwa mgombea ubunge wa jimbo la Arusha Mjini kupitia Chadema, Godbless Lema na sasa anaendelea na hatua za kuomba hifadhi ya muda.

Lukuvi mwenyekiti uchaguzi Spika wa Bunge

Katibu wa Bunge, Stephen Kagaigai amemteua mbunge mteule wa  Isimani (CCM), William Lukuvi kuwa mwenyekiti wa uchaguzi wa Spika wa Bunge la 12 unaofanyika leo Jumanne Novemba 10,  2020  bungeni jijini Dodoma
Mwananchi | Gazeti za Kiswahili linaloongoza TanzaniaMwananchi

Lukuvi mwenyekiti uchaguzi Spika wa Bunge

Katibu wa Bunge, Stephen Kagaigai amemteua mbunge mteule wa  Isimani (CCM), William Lukuvi kuwa mwenyekiti wa uchaguzi wa Spika wa Bunge la 12 unaofanyika leo Jumanne Novemba 10,  2020  bungeni jijini Dodoma

Get more results via ClueGoal